KUWA NA MATUMAINI (1MB)

Mara kwa mara watu huhisi kuwa mtu akitarajia zaidi ya alivyo navyo basi ni mlafi au anafanya makosa. Ijapokuwa ni kweli kwamba wakati wote tunapaswa kuridhika na kutosheka na yale tuliyo nayo, haimaanishi kuwa kutamani kuwa na vitu vizuri ni makosa alimradi tuna sababu nzuri ya kuvitamani. Tunawezaje kutosheka na huku bado tunataka kuwa na vingi?

Kupakua
KUWA NA MATUMAINI
Facebook icon Twitter icon Instagram icon Pinterest icon Google+ icon YouTube icon LinkedIn icon Contact icon