Orodha ya TV

Tazama kipindi cha Kufurahia Maisha ya Kila Siku Kwa lugha ya Kiswahili kwenye runinga au redio katika eneo lako:

KENYA
Family TV: Jumatatu-Ijumaa saa kumi alasiri & saa nne unusu usiku
Biblia Husema Radio: Jumapili saa mbili usiku
Pillar TV* : Jumatatu-Ijumaa saa kumi na mbili jioni

TANZANIA
Star TV: Jumatano saa sita unusu mchana& Jumamosi saa saba unusu mchana
Joy Radio: Jumapili saa nane mchana
HHC Alive FM: Jumatano, Alhamisi, Ijumaa saa nne asubuhi
Dizzim TV*: Jumamosi-Jumapili saa kumi na mbili unusu asubuhi

BURUNDI
Radio Ivyizigiro: Jumatatu na Jumatano saa kumi na mbili na dakika kumi na tano asubuhi, Jumamosi saa kumi unusu alasiri & Jumapili saa nne na dakika tano usiku

*Destiny 90.5FM Radio: Jumatatu-Ijumaa saa tano unusu asubuhi

 

Facebook icon Twitter icon Instagram icon Pinterest icon Google+ icon YouTube icon LinkedIn icon Contact icon