KWA NINI, MUNGU, KWA NINI? (1MB)

Je, umechanganyikiwa? Kuna kitu kinachotendeka maishani mwako sasa hivi ambacho hukielewi? Pengine ni maisha yako ya kale, ambayo huelewi ni kwa nini yalikuwa jinsi yalivyokuwa. Unaweza kuwa ukisema, “Kwa nini mimi, Mungu? Ni kwa nini mambo hayakutendeka hivi au vile? Ni kwa nini mambo yalitokea hivi? Sielewi mimi!”

Nilianza kuelewa kuwa watu wengi husumbuliwa sana na matatanisho au kuchanganyikiwa. Nilishapitia haya katika maisha yangu ya kale kwa hivyo nilielewa jinsi utatanishi huwatesa watu. Nilianza kuwaza na kujiuliza ni kwa nini watu huchanganyikiwa na wanawezaje kuepukana na kuchanganyikiwa?

Kupakua
KWA NINI, MUNGU, KWA NINI?
Facebook icon Twitter icon Instagram icon Pinterest icon Google+ icon YouTube icon LinkedIn icon Contact icon