Lawama zilianza katika Bustani ya Edeni…na bado tunazipitisha hadi leo! Jifunze kwa nini ni bora kuwajibika kwa matendo yako, kwenye kipindi hiki cha Kufurahia Maisha ya Kila Siku pamoja na Joyce Meyer.