Jinsi ya Kufikia Malengo Uliyopewa na Mungu

Jinsi ya Kufikia Malengo Uliyopewa na Mungu

Maana ni nani katika ninyi, kama akitaka kujenga mnara asiyeketi kwanza na kuhesabu gharama, kwamba anavyo vya kumalizia? LUKA 14:28

Malengo ni muhimu katika maisha. Paulo alisema kwamba alichuchumilia mbele niifikilie mede ya thawabu (tazama Wafilipi 3:14). Kama waaminio, tunaweza kushukuru kwamba Mungu anatusaidia kuweka na kufikia malengo mazuri katika maisha yetu. Watu wengi huwa hawatimizi malengo yao kwa sababu hawajui jinsi ya kuyatayarisha. Akronimu maarufu na rahisi ya kukumbuka ambayo imefanikiwa kusaidia watu wengi kufikia malengo yao ni neno smart:

Bayana Linapimika
Linafikika Linawezekana
Linakuja kwa wakati unaofaa

Bayana: Hakikisha kuwa lengo lako ni dhahiri iwezekanavyo
Linapimika: Malengo ambayo ni magumu kupima ni malengo ambayo ni magumu kutimiza. Goals that are hard to measure are goals that are hard to meet. Attainable (Linafikika): Hakikisha kwamba lengo lenyewe linafikika. Real- istic (Linawezekana): Ni muhimu kuota ndoto kubwa na kulenga juu, lakini usijitayarishe kwa masikitiko kwa kujaribu kufikia lengo lisilowezekana. Timely (Linakuja kwa wakati unaofaa): Watu ambao hutayarisha malengo bila kulenga tarehe za kumaliza ni nadra sana watimize malengo yao.


Sala ya Shukrani

Baba, ninashukuru kwamba ninaweza kutimiza malengo niliyotayarisha kwa usaidizi wako. Ninaomba kwamba unipe hekima ya kutayarisha malengo mazuri ya maisha yangu na uvumilivu wa kufikia kila lengo nililotayarisha.

Facebook icon Twitter icon Instagram icon Pinterest icon Google+ icon YouTube icon LinkedIn icon Contact icon