TUMAINI kwa nyakati ngumu
Chochote ulichopitia, kitabu hiki kitakusaidia kuongeza matarajio yako na usikate tamaa kwa Mungu kamwe. Kwa sababu, zaidi ya yote, Yeye ndiye "Mungu wa tumaini" (Warumi 15:13), na Yeye ndiye anaweza kuichukua hali yako na kuibadilisha kuwa kitu kizuri zaidi.
Tumaini Dhabiti
Mungu hufurahia kutushangaza na atafanya hivyo kila mara iwapo tutaachilia vitu katika mikono yake na usalama wake. Anataka tushirikiane katika maisha yetu, na tukimruhusu kufanya hivyo, nafsi zetu zinaweza kuwa na utulivu.
MAGEUZI YA UPENDO
Ninapokaa na kunywa kahawa yangu asubuhi, nikiangalia kupitia...
Nisaidie-Ninaogopa! (629KB)
Ujumbe huo, “Usiogope, kwa maana Mimi Mungu, niko pamoja nawe,” umeashiriwa mara nyingi sana katika Biblia.